| 123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150151152153154155156157158159160161162163164165166167168169170171172173174175176177178179180181182183184185186187188189190191 |
- # Header, don't edit
- NLF v6
- # Start editing here
- # Language ID
- 1089
- # Font and size - dash (-) means default
- -
- -
- # Codepage - dash (-) means ASCII code page
- 1252
- # RTL - anything else than RTL means LTR
- -
- # Translation by MK, Kenya Branch
- # ^Branding
- Nullsoft Install System %s
- # ^SetupCaption
- $(^Name) Usanidi
- # ^UninstallCaption
- $(^Name) Sakinusha
- # ^LicenseSubCaption
- : Mapatano ya Leseni
- # ^ComponentsSubCaption
- : Machaguo ya Kusakinisha
- # ^DirSubCaption
- : Folda ya Kusakinisha
- # ^InstallingSubCaption
- : Inasakinisha
- # ^CompletedSubCaption
- : Imekamilika
- # ^UnComponentsSubCaption
- : Machaguo ya Kusakinusha
- # ^UnDirSubCaption
- : Folda ya Kusakinusha
- # ^ConfirmSubCaption
- : Uthibitisho
- # ^UninstallingSubCaption
- : Inasakinusha
- # ^UnCompletedSubCaption
- : Imekamilika
- # ^BackBtn
- < Inayo&tangulia
- # ^NextBtn
- &Ifuatayo >
- # ^AgreeBtn
- &Nakubali
- # ^AcceptBtn
- &Nakubali matakwa ya Mapatano ya Leseni
- # ^DontAcceptBtn
- &Sikubali matakwa ya Mapatano ya Leseni
- # ^InstallBtn
- &Sakinisha
- # ^UninstallBtn
- &Sakinusha
- # ^CancelBtn
- Ghairi
- # ^CloseBtn
- &Funga
- # ^BrowseBtn
- &Vinjari...
- # ^ShowDetailsBtn
- &Onyesha utondoti
- # ^ClickNext
- Bofya Ifuatayo ili kuendelea.
- # ^ClickInstall
- Bofya Sakinisha ili kuanza usakinishaji.
- # ^ClickUninstall
- Bofya Sakinusha ili kuanza usakinushaji.
- # ^Name
- Jina
- # ^Completed
- Imekamilika
- # ^LicenseText
- Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya Nakubali.
- # ^LicenseTextCB
- Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya kisanduku cha alama kilicho hapa chini. $_CLICK
- # ^LicenseTextRB
- Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, teua chaguo la kwanza hapa chini. $_CLICK
- # ^UnLicenseText
- Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya Nakubali.
- # ^UnLicenseTextCB
- Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya kisanduku cha alama kilicho hapa chini. $_CLICK
- # ^UnLicenseTextRB
- Tafadhali soma leseni ya mapatano kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, teua chaguo la kwanza hapa chini. $_CLICK
- # ^Custom
- Kaida
- # ^ComponentsText
- Tia alama vijenzi unavyotaka kusakinisha na utoe alama kando ya vijenzi usivyotaka kusakinisha. $_CLICK
- # ^ComponentsSubText1
- Teua aina ya usakinishaji:
- # ^ComponentsSubText2_NoInstTypes
- Teua vijenzi vitakavyosakinishwa:
- # ^ComponentsSubText2
- Au, uteue vijenzi vya hiari unavyotaka kusakinisha:
- # ^UnComponentsText
- Tia alama vijenzi unavyotaka kusakinusha na utoe alama kando ya vijenzi usivyotaka kusakinusha. $_CLICK
- # ^UnComponentsSubText1
- Teua aina ya usakinushaji:
- # ^UnComponentsSubText2_NoInstTypes
- Teua vijenzi vitakavyosakinushwa:
- # ^UnComponentsSubText2
- Au, uteue vijenzi vya hiari unavyotaka kusakinusha:
- # ^DirText
- Usanidi utasakinisha $(^NameDA) katika folda ifuatayo. Ili kusakinisha katika folda tofauti, bofya Vinjari kisha uteue folda nyingine. $_CLICK
- # ^DirSubText
- Folda Inayokusudiwa
- # ^DirBrowseText
- Teua folda itakayotumika katika usakinishaji $(^NameDA):
- # ^UnDirText
- Usanidi utasakinusha $(^NameDA) kutoka katika folda ifuatayo. Ili kusakinusha kutoka katika folda tofauti, bofya Vinjari kisha uteue folda nyingine. $_CLICK
- # ^UnDirSubText
- ""
- # ^UnDirBrowseText
- Teua folda itakayotumika katika usakinushaji $(^NameDA):
- # ^SpaceAvailable
- "Nafasi iliyopo: "
- # ^SpaceRequired
- "Nafasi inayohitajika: "
- # ^UninstallingText
- $(^NameDA) itasakinushwa kutoka katika folda ifuatayo. $_CLICK
- # ^UninstallingSubText
- Usakinushaji kutoka:
- # ^FileError
- Hitilafu katika kufungua faili ili kuandika: \r\n\r\n$0\r\n\r\nBofya Katiza ili kusimamisha usakinishaji,\r\nJaribu Upya ili kujaribu upya, au\r\nPuuza ili kuruka faili hii.
- # ^FileError_NoIgnore
- Hitilafu katika kufungua faili ili kuandika: \r\n\r\n$0\r\n\r\nBofya Jaribu Tena ili kujaribu tena, au\r\nGhairi ili kusimamisha usakinishaji.
- # ^CantWrite
- "Haiwezekani kuandika: "
- # ^CopyFailed
- Haikuwezekana Kunakili
- # ^CopyTo
- "Nakili katika"
- # ^Registering
- "Inaandikisha: "
- # ^Unregistering
- "Inatangua Uandikishaji: "
- # ^SymbolNotFound
- "Alama haikupatikana: "
- # ^CouldNotLoad
- "Haikupakia: "
- # ^CreateFolder
- "Unda Folda: "
- # ^CreateShortcut
- "Unda Mkato: "
- # ^CreatedUninstaller
- "Kisakinushaji Kimeundwa: "
- # ^Delete
- "Futa Faili: "
- # ^DeleteOnReboot
- "Futa itakapowashwa upya: "
- # ^ErrorCreatingShortcut
- "Hitilafu katika kuunda mkato: "
- # ^ErrorCreating
- "Hitilafu katika kuunda: "
- # ^ErrorDecompressing
- Hitilafu katika kugandamua data! Kisakinishaji kimevurugika?
- # ^ErrorRegistering
- Hitilafu katika kuandikisha DLL
- # ^ExecShell
- "ExecShell: "
- # ^Exec
- "Tekeleza: "
- # ^Extract
- "Chopoa: "
- # ^ErrorWriting
- "Zidua: hitilafu katika kuandika faili "
- # ^InvalidOpcode
- Kisakinishi kimevurugika: msimbo batili
- # ^NoOLE
- "Hakuna UPV (OLE) kwa ajili ya: "
- # ^OutputFolder
- "Folda ya zao: "
- # ^RemoveFolder
- "Ondoa Folda: "
- # ^RenameOnReboot
- "Badili jina itakapowashwa upya: "
- # ^Rename
- "Badili jina: "
- # ^Skipped
- "Imerukwa: "
- # ^CopyDetails
- Nakili Utondoti Kwenye Clipboard
- # ^LogInstall
- Unda batli ya mchakato wa kusakinisha
- # ^Byte
- B
- # ^Kilo
- K
- # ^Mega
- M
- # ^Giga
- G
|